Ukitaka heshima kwa Gharama Ya juu Utalipwa Dharau Kwa bei Nafuu.

"Ukitaka heshima kwa Gharama Ya juu Utalipwa Dharau Kwa bei Nafuu.."
"Usinunue heshima kwa gharama ya kuwatusi wengine"
"Usitafute sifa (jina) kwa kuwachafua wengine"
"Usilazimishe lisilo wezekana fanya unayo yaweza"
"Ninacho fahamu Mimi hata ukiwa bingwa wakuchukia uchafu kiasi gani "
"Huwezi kuchimba shimo la taka sebuleni"
"Heshma inatoka kwa watu ni vyema tukafahamu hakuna kitu kizuri kama kujiheshimu mwenyewe na kuishi na watu vizuri"
"Usimkimbie aliye na mpira utakosa pasi "
Image may contain: 1 person, standing

Comments

Popular posts from this blog

JE MAHUSIANO YAKO HIVI??

WEWE NDIYE MCHAWI NA MGANGA WA MAISHA YAKO

HIVI NDIVYO WANAWAKE WENGI WANAVYOZIVUNJA NDOA ZAO BILA KUJUA #inasikitisha