Posts

Showing posts from September, 2020

NJIAPANDA; NIFANYE NINI WIVU WA MWANANGU UMENIFANYA KUPEWA TALAKA?

Image
Mimi ni Mama wa watoto wawili, nimeolewa na ndoa yangu ina miaka miwili sasa. Mimi na mume wangu tuko vizuri,a naanihudumia na hakuna shida yoyote, mtoto wangu wa kwanza nilizaa na mwanaume mwingine ambaye tulishindwana na kuachana, yeye akaenda kua mwanamke mwingine na mimi nikaolewa, Baba wa mtoto anahudumia vizuri mtoto wake na kila likizo anaenda kukaa kwake. Sababu ya kuja kwako ni hivi, mwanangu nahisi kumpoteza, mke wake ni mtu mzuri sana kwa mwanangu. Mwanangu ana miaka mitano, lakini kila akirudi kutoka likizo kwa Baba yake anakua na furaha na anatamani kubaki huko huko. Najaribu kumchunguza kama Mama yake wa kambo anamtesa lakini wapi, anaonekana anampenda. Naumia sana, mwanzo nilikua naumia na picha ambazo alikua anapest Baba yake. Labda mwanangu ameenda wametoka wote na mkewe, wanacheza, mtoto wangu anaonekana kuwa na furaha akiwa na yule Mama kuliko hata mimi. Hali hiyo ilikua inaniumiza sana kwani naona kama wana raha kuliko mimi. Baaada ya kuumia sana nikaona ili wasiwe ...

JE MAHUSIANO YAKO HIVI??

Image
Unapokuwa katika mahusiano ambayo unategemea yaishie katika Ndoa, huwa kuna Taa nyekundu ambazo huwaka kuashiria hali ya hatari kuhusiana na mtu uliyenae kwenye mahusiano. . Sikiliza kwa makini. Kama Mpenzi wako sio aina ya mtu ambaye unatamani uwe nae kwenye Ndoa, Basi Ndoa haiwezi kumbadilisha. . Kama kila siku ninyi ni ugomvi tu Jumatatu mpaka Jumatatu, Ndoa haiwezi kuwa-guarantee kuwa na masikilizano baada ya kuingia humo. . Watu wawili hawawezi kutembea pamoja wakaifurahia safari kama hakuna Mapatano. Upatano ni muhimu sana katika urafiki, mahusiano na Ndoa. . Kama mpenzi wako ni mtu wa kukuumiza kila iitwapo leo, mtu wa kukushusha thamani na kutokukuheshimu usije kufikiri labda Mkiingia kwenye Ndoa atabadilika. . Ndoa sio gereji ya kurekebisha tabia. Ndoa ni maisha ya uhalisia. Usiseme unampa muda wa kubadilika, ni vigumu kubadili tabia ya mtu mzima. MUNGU pekee ndiye anayeweza kumbadilisha mtu. . Mapenzi yasikupige upofu ukashindwa kuona Taa nyekundu. Wewe ni mtu mwenye thamani ...

MATUNDA YA KAZI KULA NA MKEO ANAELIA NA WEWE MISIMU YOTE KUITAFUTIA FAMILIA BARAKA HAWARA HANA SHUKRANI.

Image
Ni Mke wako pekee anaeweza kukuvumilia na kukupa moyo usipokuwa na Pesa,tena akakubali kulala na wewe kitanda kimoja akikutia moyo usiku kucha lakini siyo mchepuko. Mchepuko anakupa mahaba ukiwa na kitu ila ukikosa anakwenda kwa mwingine,mkeo yeye jua liwake mvua inyeshe yupo nawewe,unaanzaje kumdhrau kama si kukosa akili? Kwa hawara unaweza kuombwa pesa ya kidari na maini hata ukiwa mgonjwa mahututi akidai unaeumwa ni wewe na sio pesa lakini kwa mkeo ataenda hata kwao kuomba msaada akupikie maini ule upate nafuu. Ni vema ukamheshimu mkeo!! Mwanamke yeyote anaweza kukupa mwili wake ili uburudike kitandani lakini Mwanamke awezaye kukuhurumia kwenye maisha yako na kukuombea ukapokea BARAKA ni mkeo peke yake . Hawara akikohoa tu unamuuliza umeniita baby,nguo za kila toleo anazipata toka kwako,lakini kwa mkeo hata chupi ya 500 hujui ni lini na wapi anapata,bajeti kwa mkeo ni pasua kichwa mpaka anapata homa za ghafla,ananyauka na kupauka tu,nyanya za masalo mtaani ni yeye anaulizwa mama ful...

Ukitaka heshima kwa Gharama Ya juu Utalipwa Dharau Kwa bei Nafuu.

Image
"Ukitaka heshima kwa Gharama Ya juu Utalipwa Dharau Kwa bei Nafuu.." "Usinunue heshima kwa gharama ya kuwatusi wengine" "Usitafute sifa (jina) kwa kuwachafua wengine" "Usilazimishe lisilo wezekana fanya unayo yaweza" "Ninacho fahamu Mimi hata ukiwa bingwa wakuchukia uchafu kiasi gani " "Huwezi kuchimba shimo la taka sebuleni" "Heshma inatoka kwa watu ni vyema tukafahamu hakuna kitu kizuri kama kujiheshimu mwenyewe na kuishi na watu vizuri" "Usimkimbie aliye na mpira utakosa pasi "

SOME SOCIAL RULES THAT MAY HELP YOU:

Image
1. Don’t call someone more than twice continuously. If they don’t pick up your call, presume they have something important to attend to; 2. Return money that you have borrowed even before the person that borrowed you remember or ask for it. It shows your integrity and character. Same goes with umbrellas, pens and lunch boxes. 3. Never order the expensive dish on the menu when someone is giving you a lunch/dinner. If possible ask them to order their choice of food for you; 4. Don’t ask awkward questions like ‘Oh so you aren’t married yet?’ Or ‘Don’t you have kids’ or ‘Why didn’t you buy a house?’ Or why don't you buy a car? For God’s sake it isn’t your problem; 5. Always open the door for the person coming behind you. It doesn’t matter if it is a guy or a girl, senior or junior. You don’t grow small by treating someone well in public; 6. If you take a taxi with a friend and he/she pays now, try paying next time; 7. Respect different shades of opinions. Remember what's 6 to you w...

Ni ngumu sana kuthaminiwa kutokana na vile ulivyo navyo;

Image
  Ni ngumu sana kuthaminiwa kutokana na vile ulivyo navyo; lakini ni rahisi sana kuthaminiwa na kupewa nafasi kwenye mioyo ya watu kwa sababu ya vile unavyovitoa, na ukishaijua siri hii, basi jambo lililo bora kuliko yote sio kuwa tu na vitu; bali jambo lililo bora zaidi kuliko yote ni kutoa vitu; maana ni kheri kutoa kuliko kupokea.!=Matend20:35. Watu huwa hawawakumbuki wanaopokea sana; bali watu huwa wanawakumbuka na kuwaadhimisha wale wanaotoa sana; kwahiyo ukishalijua hilo haupaswi kukaa mkao wa kupokea sana; bali unapaswa kukaa mkao wa kutoa sana.! Hakuna mtu aliyewahi kuweka alama kwenye hii dunia kwa sababu alikuwa mpokeaji sana; lakini watu wote ambao waliowahi kuweka alama kwenye maisha ya watu walikuwa ni watoaji sana wa vile walivyokuwa Navyo.! Hakuna Mtu aliyewahi kuhesabiwa kuwa amebarikiwa kwa sababu ya vile alivyovipokea tu; bali kuna ambao wamedumu wakiwa wanaitwa kuwa wao ni wabarikiwa kwa sababu ya vile wanavyovitoa.! Aliye na vingi ni kama vile ni rahisi kudhani ...

#ZIJUE AINA ZA WANAUME..👇🏽✍🏽

Image
*1: MUME BACHELA* Anafanya mambo kivyake-vyake bila kumshaurisha wala kumshirikisha mke. Muda mwingi anautumia kukaa na marafiki kuliko mkewe. Hayuko siriaz na maisha ya ndoa. *2: MUME GESI* Huyu muda wote anachemka mama asidi, ana hasira kali, mgumu, anatawala kila jambo na ni hatari. *3: MUME MTUMWA* Anataka kutendewa kama mfalme lakini anamtendea mkewe kama mtumwa. Anataka mkewe kama mtu kwake, asiyestahiki heshima yoyote. *4: MUME CHA WOTE* Huyu ni mume wa kila mwanamke. Anawapenda na kuwajali zaidi wanawake wa nje kuliko mkewe. Anapenda kuwapatia pesa wanawake wa nje, na ana marafiki wengi wa kike. *5: MUME MKAVU* Mkali na bahili, hajali hisia za mkewe, anafanya ndoa isiwe na raha. Ni mgumu kwelikweli, hataniwi. *6: MUME PANADOL* Anamtumia mkewe kama mtatuzi wa tatizo, anampenda mkewe pale tu anapohitaji kitu kutoka kwake. Ni mjanja, anaujua udhaifu wa mkewe na kuutumia kama mtaji wake. *7: MUME KIMELEA* Mvivu, anampenda mke kwa ajili ya pesa tu. Anatumia pesa za mkewe kuhonga wan...

HIVI NDIVYO WANAWAKE WENGI WANAVYOZIVUNJA NDOA ZAO BILA KUJUA #inasikitisha

Image
Unakuta Msichana anaolewa lakini WIKI YA KWANZA TU,anataka Msichana wa kazi wakati hana hata Mtoto mdogo.unataka msichana wa kazi wa nini??, huo ni uvivu tu.Lazima uwe MWANGALIFU,wewe umeolewa tu,unataka msichana wa kazi wa nini? Unaweza ukajitetea na kusema ni wakukusaidia kazi- KAZI ZIPI? Unaweza ukajitetea na kusema, "Aa! unajua ninachelewa sana kutoka kazini,angalau nikute mtu wa kupika" MIMI ninakuambia unaanza vibaya.Kama ndiyo kwanza umeolewa tu,unataka wa kumpikia chakula mume wako awe ni msichana wa kazi,basi unaanza vibaya..... Wakati huo ndio saa ya kumtayarishia mume wako mapishi ambayo hajawahi kuona kwenye nyumba ya Baba na Mama yake! Akikaa mwenyewe huku anakula anasema ASANTE MUNGU kwa kunipa Mwanamke wa namna hii, kwa sababu hajawahi kuona chakula kizuri cha namna hiyo ulichompikia HATA HOTELIN HAJAWAHI KUKIPATA.. Lakini unaanza tu maisha ya ndoa na kumbandikia mume wako watu wa kumuhudumia,mimi nakuambia unaanza vibaya,huko unakoelekea na ndoa yako siko. W...

WEWE NDIYE MCHAWI NA MGANGA WA MAISHA YAKO

Image
Jua Usijue, Lakini Wewe Ni Kiumbe Chenye Uwezo Mkubwa Kuliko Mtu Ye Yote Katika Kufanya Uwe na Maisha Yenye Furaha na Mafanikio. Huu Ndio Ukweli wa Maisha: Mtazamo Wako Una Changia Asilimia 99% Katika Kuwepo na Furaha na Mafanikio - Au Huzuni, Mikosi na Shida - Katika Maisha Yako. Zaidi ya Hayo, Asilimia 95% ya Mafanikio Katika Maisha Yako Yana Tegemea Uwezo Wako wa Kujenga Mahusiano Mema Ndani Ya Nafsi Yako Pamoja na Mahusiano na Wote Unao Ishi Nao, Iwe Kwenye Unyumba, Kwenye Familia, Jamii au Kazini. Bahati Nzuri ni Kwamba Wewe na Mimi Tukisha Kutambua Hivyo, Tunao Uwezo wa KUAMUA Kubadili Fikra, Mitazamo na Mienendo Ya Maisha Yetu Ili Yawe Ya Furaha, Mafanikio na Amani ya Kudumu!!! Je, Wewe Mwenzangu Una AMUA Kuendelea Kuwa Mchawi Wako, Au Kuacha Papara Papara na Mikiki Mikiki Ambayo Itaendelea Kuya Chawia Maisha Yako??? Amini Kwamba Utakalo Amua Lita Kuwa kwa Sababu Utalifanyia Kazi!!! Tutakiane Kila la Kheri. #